Nenda kwa yaliyomo

Flore Maltine Ramarozatovo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Flore Meltine Ramarozatovo ni mwanasiasa wa Madagaska (Malagasy). Ni mjumbe wa Bunge la Taifa la Madagaska, na alichaguliwa kama mbunge kupitia chama cha Tiako I Madagasikara katika Uchaguzi wa Bunge wa Madagaska wa mwaka 2007. Aliwakilisha Jimbo la Soavinandriana.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Flore Maltine Ramarozatovo Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.