Nenda kwa yaliyomo

Florbela Malaquias

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Florbela Catarina Malaquias, anayejulikana zaidi kama Bela Malaquias (alizaliwa 26 Januari 1959), ni mwanasiasa shupavu, mwanasheria, na mwandishi wa habari. Yeye ni mwanzilishi na Rais wa chama cha Humanist Party of Angola.[1]

  1. Nova Vaga (2022-08-26). "Bela Malaquias no Parlamento e o fim da CASA-CE". Expansão (kwa Kireno). Iliwekwa mnamo 2026-05-13.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Florbela Malaquias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.