Nenda kwa yaliyomo

Flora Tristan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Flore Célestine Thérèse Henriette Tristán y Moscoso (alijulikana zaidi kama Flora Tristan; 7 Aprili 180314 Novemba 1844) alikuwa mwandishi kutoka Ufaransa na Peru. Aliamini kuwa haki za wanawake haziwezi kupatikana bila maendeleo ya wafanyakazi. Aliandika vitabu vitatu maarufu: Peregrinations of a Pariah (1838), Promenades in London (1840), na The Workers' Union (1843). Pia alikuwa bibi wa mchoraji mashuhuri Paul Gauguin.[1][2][3][4][5]

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Jina kamili la Tristan lilikuwa Flore Célestine Thérèse Henriette Tristán y Moscoso. Alizaliwa Peru, katika familia yenye hadhi. Baba yake alikuwa afisa wa jeshi wa cheo cha juu katika Jeshi la Wanamaji la Hispania na kaka yake Pío de Tristán alikua Makamu wa Mfalme wa Peru. Mama yake alikuwa Mfaransa. Baba yake alifariki mwaka 1807, kabla Tristan hajazaliwa, na familia ikashuka hadhi. Mnamo 1833, Tristan alisafiri kwenda Peru kudai urithi wa baba yake bila mafanikio. Baadaye aliandika katika kitabu chake cha kumbukumbu kuhusu safari hiyona ilichapishwa mwaka 1838 kama Peregrinations of a Pariah.[6][7][8][9]

  1. Nilan, Kathleen A. "Flora Tristan". Encyclopedia of 1848 Revolutions. Iliwekwa mnamo 24 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Doris and Paul Beik, Flora Tristan: Utopian Feminist: Her Travel Diaries and Personal Crusade. Bloomington: Indiana University Press, 1993
  3. Naomi Judith Andrews, Socialism's Muse: Gender in the Intellectual Landscape of French Romantic Socialism (2006), pages 40-41, 95, 102
  4. Sowerwine, Charles (1998). "Socialist, Feminism, and the Socialist Women's Movement from the French Revolution to World War II" in Becoming Visible: Women in European History. Boston: Houghton Mifflin Company. ku. 357–388.
  5. Archive of Flora Tristan Papers at the International Institute of Social History
  6. Valenzuela, Nahuel (2015). "Flora Tristan: precursor of feminism and proletarian emancipation". Anarkismo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-08-15. Iliwekwa mnamo 2025-03-23.
  7. Grogan, Susan (1998). Flora Tristan: Life Stories. New York: Routledge. uk. 6.
  8. Ibero-American Electronic Text Series: Tristan, Flora, Peregrinaciones de una Paria (Selección). Presented online by the University of Wisconsin Digital Collections Center.
  9. Excerpts and full text of Promenades in London (1840) at the Marxist Internet Archive (in Spanish)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Flora Tristan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.