Firdaus Khisamitdinova
Mandhari
Firdaus Gilmitdnovna Khisamitdinova 1 Januari 1950 – 2 Oktoba 2023) alikuwa mwanasayansi wa lugha (mwanaasili-lugha) wa Kibashkir kutoka Urusi na mwanasiasa. Akiwa mwanachama wa zamani wa Chama cha Kikomunisti cha Umoja wa Kisovieti, alihudumu kama Waziri wa Elimu wa Bashkortostan kuanzia mwaka 1995 hadi 1998.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Firdaus Khisamitdinova kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |