Nenda kwa yaliyomo

Fintano wa Doon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fintano wa Doon (aliishi Ireland, karne ya 6) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Kiselti, kwanza mwanafunzi wa Kongal, halafu mwanzilishi wa monasteri huko Doon, Limerick [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.