Filippo Iannone
Mandhari
Filippo Iannone, O.Carm. (alizaliwa 13 Desemba 1957) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia ambaye amekuwa prefekti wa Dikasteri ya Maaskofu tangu tarehe 15 Oktoba 2025. Kabla ya hapo, alikuwa prefekti wa Dikasteri ya Maandishi ya Kisheria kuanzia 2022 hadi 2025. Amekuwa askofu tangu mwaka 2001 na askofu mkuu tangu mwaka 2012. Yeye ni mwanachama wa Shirika la Wakarmeli.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ (in it) Rinunce e nomine, 12.04.2001 (Press release). Holy See Press Office. 12 April 2001. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2001/04/12/0207/00588.html. Retrieved 15 May 2014.
- ↑ (in it) Rinunce e nomine, 31.01.2012 (Press release). Holy See Press Office. 31 January 2012. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2012/01/31/0060/00130.html. Retrieved 29 January 2018.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |