Nenda kwa yaliyomo

Filipe Samuel Magaia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Filipe Samuel Magaia (7 Machi 193710/11 Oktoba 1966[1]) alikuwa mkomunisti na kiongozi wa wanamgambo wa Msumbiji. Alikuwa Katibu wa Ulinzi wa shirika la FRELIMO wakati wa Mapinduzi ya Uhuru wa Mozambiki. Baada ya miaka kadhaa ya mapambano, Magaia aliuwawa na mwanamgambo wa FRELIMO aliyejigeuza ambaye alikuwa akifanya kazi kwa upande wa Waporutugali.

  1. A Document for the History of African Nationalism Douglas L. Wheeler, 1970
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Filipe Samuel Magaia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.