Deafula
Mandhari
(Elekezwa kutoka Filamu ya Deafula)
Deafula ni filamu ya kutisha ya Marekani ya mwaka 1975 iliyotumia Lugha ya ishara ya Marekani (ASL)[1] [2]. Sauti ya maelezo iliwekwa kwa ajili ya wale wasioelewa lugha ya alama. Filamu hiyo ilimshirikisha Peter Wechsberg, ambaye pia alikuwa mkurugenzi na mwandishi wa filamu hiyo, kwa jina bandia Peter Wolf.[3]
Muhtasari wa msingi wa simulizi
[hariri | hariri chanzo]Filamu inaeleza hadithi ya kijana ambaye hawezi kujizuia hamu yake ya kuua watu kwa ajili ya damu yao, na uchunguzi wa polisi unaofanyika kumtafuta muuaji huyo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Deafula kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |