Nenda kwa yaliyomo

Fidelis Rakotonarivo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Askofu Fidelis Rakotonarivo (alizaliwa 28 Agosti 1956 huko Ambohimahazo) ni kiongozi wa Jimbo Katoliki la Ambositra, lililopo Ambositra, Madagaska. Alipadrishwa tarehe 15 Agosti 1992 kwa Shirika la Yesu. Mwaka 2004, aliteuliwa na kuthibitishwa kama askofu.[1]

  1. "Bishop Fidelis Rakotonarivo [Catholic-Hierarchy]". catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2021-05-18.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.