Nenda kwa yaliyomo

Feyrouz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Piruz Sarkis Artin Galfayan (alijulikana nchini Misri kama Feyrouz au Fayruz, فيروز; 15 Machi 1943 – 30 Januari 2016) alikuwa mwigizaji wa filamu wa Misri aliyejulikana sana akiwa mtoto.[1]

Piruz alizaliwa mjini Kairo tarehe 15 Machi 1943 katika familia yenye asili ya Waarmenia. Dada yake, Nelly, pia aliingia katika tasnia ya burudani.

Alianza kazi ya uigizaji akiwa na umri mdogo sana, akifanya debut yake akiwa na miaka saba katika filamu ya mwaka 1950 iitwayo Yasmine. Mkurugenzi maarufu wa Misri, Anwar Wagdi, alimsaidia kwa kiasi kikubwa katika kukuza taaluma yake ya uigizaji.

Hatimaye, aliacha uigizaji akiwa na umri wa miaka 15 mnamo 1959 ili kuolewa na mchekeshaji Badreddine Gamgoum (بدر الدين جمجوم). Walipata watoto wawili, Iman na Ayman.[2]

  1. ↑ "Famed Egyptian Child Actress Fayrouz Dies at Age 73". CairoScene. {{cite web}}: Missing or empty |url= (help)
  2. ↑ "Famous Egyptian actress Fayrouz dies at 73". Ahram Online. {{cite web}}: Missing or empty |url= (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Feyrouz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.