Nenda kwa yaliyomo

Fernando Luiz Roza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fernandinho akiwa na mpira.

Fernando Luiz Roza (kwa kawaida huitwa Fernandinho; alizaliwa tarehe 4 Mei 1985) ni mchezaji mahiri wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Manchester City ambaye hucheza kama kiungo wa kati na mara nyingi ni nahodha wa timu zote mbili.

Fernando alianza kuichezea timu ya Atlético Paranaense kabla ya kwenda katika timu ya Shakhtar Donetsk mwaka 2005; akiwa na timu hii alishinda tuzo sita alishinda vikombe vinne vya ligi hiyo na mawili ya klabu bingwa ulaya alichaguliwa kama mchezaji bora wa kibrazili na Shakhtar Donetsk.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fernando Luiz Roza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.