Nenda kwa yaliyomo

Fernando Legal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fernando Legal (17 Desemba 193122 Agosti 2023) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Brazil.

Alihudumu kama askofu wa Itapeva kutoka 1980 hadi 1985, askofu wa Limeira kutoka 1985 hadi 1989, na askofu wa São Miguel Paulista kutoka 1989 hadi alipostaafu mwaka 2008.[1]

  1. "Bishop Fernando Legal, S.D.B." Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.