Fernando Crosa
Mandhari
Fernando Javier Crosa (aliyezaliwa 28 Februari 1979 mjini Rosario) ni mchezaji wa soka kutoka Argentina anayekipiga katika nafasi ya beki. Alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya Argentina ya vijana chini ya miaka 20, iliyoshinda Mashindano ya Vijana ya Amerika Kusini mwaka 1999.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fernando Crosa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "FIFA Tournaments - Players & Coaches - Fernando CROSA". FIFA.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-02-04.