Fernand Braudel
Mandhari
| Fernand Braudel | |
Fernand Braudel | |
| Amezaliwa | Fernand Paul Achille Braudel 24 Agosti 1902 Luméville-en-Ornois, Ufaransa |
|---|---|
| Nchi | Mfaransa |
| Kazi yake | Mwanahistoria |
| Elimu | Chuo Kikuu cha Paris |
| Watoto | 2 |
Fernand Paul Achille Braudel (24 Agosti 1902 – 27 Novemba 1985) alikuwa mwanahistoria kutoka nchini Ufaransa. Masomo na tafiti zake zilijikita katika miradi mikuu mitatu: The Mediterranean (1923–49, kisha 1949–66), Civilization and Capitalism (1955–79), na kitabu kisichomalizika cha Identity of France (1970–85). Alikuwa mwanachama wa Shule ya "Annales" ya uandishi wa kihistoria wa Kifaransa na historia ya kijamii katika miaka ya 1950 na 1960.

Braudel alisisitiza mchango wa mambo makubwa ya kijamii na kiuchumi katika uundaji na uandishi wa historia.[1] Katika kura ya maoni iliyofanywa mnamo mwaka 2011 na jarida la History Today, alitajwa kuwa mwanahistoria muhimu zaidi katika kipindi miongo sita iliyopita.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ i.e. Fernand Braudel, "The Mediterranean and the Mediterranean World in the Age of Philip II" (Berkeley: University of California Press, 1996)
- ↑ "Top Historians: The Results". History Today. Iliwekwa mnamo 2024-07-03.
| Makala hii kuhusu wakimbizi au masuala ya ukimbizi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fernand Braudel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |