Ferenc Cserháti
Mandhari
Ferenc Cserháti (12 Februari 1947 – 22 Julai 2023) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Hungaria. Alikuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Esztergom–Budapest kuanzia 2007 hadi 2023.
Cserháti alifariki tarehe 22 Julai 2023 akiwa na umri wa miaka 76.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |