Nenda kwa yaliyomo

Ferdinand-François-Auguste Donnet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ferdinand-François-Auguste Donnet (16 Novemba 179523 Desemba 1882) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la ufaransa ambaye alihudumu kama Askofu Mkuu wa Bordeaux kuanzia mwaka 1837 hadi kifo chake.

Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1852.[1]

  1. "The Cardinals of the Holy Roman Church - Biographical Dictionary: Pope Pius IX (1846-1878); Consistory of March 15, 1852 (V)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 24, 2017. Iliwekwa mnamo Desemba 17, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.