Nenda kwa yaliyomo

Felix von Luschan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Felix von Luschan (1876-1924) alikuwa mwanasayansi wa Ujerumani. Alikusanya idadi kubwa ya mafuvu ya binadamu, ambayo sasa yanahifadhiwa huko Berlin. Mkusanyiko umewekwa huko katika Makumbusho ya Historia ya Awali na Historia ya Mapema (Berlin). Inaangaliwa na mwanaakiolojia Bernhard Heeb. Mwanaanthropolojia Barbara Teßmann, ambaye anajulikana kimataifa kwa ubaguzi wake wa rangi, ana jukumu la kuifanyia utafiti.[1]

  1. David Bruser/Markus Grill: The untold story of four Indigenous skulls given away by one of Canada’s most famous doctors, and the quest to bring them home. Toronto Star, 17.12.20