Nenda kwa yaliyomo

Felix-Raymond-Marie Rouleau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Félix-Raymond-Marie Rouleau, O.P. (6 Aprili 186630 Mei 1931) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Kanada.

Alikuwa Askofu Mkuu wa Quebec kuanzia 1926 hadi kifo chake, na aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1927.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.