Nenda kwa yaliyomo

Fehim Mezhgorani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fehim Mezhgorani (12 Agosti 1874 – 4 Februari 1930) alikuwa mmoja wa wajumbe wa Azimio la Uhuru wa Albania.[1][2][3][4]

Pamoja na Dhimitër Tutulani, alifanya kazi chini ya Petro Poga kuandaa Sheria (Statute) iliyotenganisha mfumo wa Sheria na Mahakama wa Albania kutoka kwenye mamlaka ya Dola la Osmani.

  1. Shkëmbi, Hasan (2004). Legjislacioni i Policisë Shqiptare: Zhvillimi historik dhe analizë krahasuese:. uk. 368. ISBN 99943-629-6-8.
  2. Lushaku, Hilë (2013). Drejtorët e Përgjithshëm të Policisë Shqiptare. uk. 464. ISBN 9789995643911.
  3. Bakiu, Besnik. "104 Vjet Polici Shqiptare". Iliwekwa mnamo 13 Januari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Arkivi Qendror i Shtetit i RSh (AQSh). Ministria e Punëve të Mbrendshme. 1913–1944.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fehim Mezhgorani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.