Nenda kwa yaliyomo

Frederick Werema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Fedrick Mwita Werema)

Frederick Mwita Werema (10 Oktoba 1955 – 30 Desemba 2024) alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania kuanzia mwaka 2009 hadi alipojiuzulu mwaka 2014.  

Kabla ya kuteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu, Werema alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika Kitengo cha Biashara.[1]

  1. "Daily News | The leading Online news edition in Tanzania". dailynews.co.tz. Iliwekwa mnamo 2025-08-30.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Werema kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.