Nenda kwa yaliyomo

Fazia Dahleb

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fazia Dahleb (alizaliwa 25 Januari 1967) ni mwanasiasa wa Algeria. Amekuwa Waziri wa Mazingira na Nishati Jadidifu tangu alipoteuliwa tarehe 16 Machi 2023. [1]

  1. Mostafa, Amr (2023-03-16). "Algerian President reshuffles cabinet, replacing foreign minister". The National (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-04-14.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fazia Dahleb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.