Faustin-Archange Touadéra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Faustin-Archange Touadéra (amezaliwa 21 Aprili 1957) ni mwanasiasa na msomi ambaye amekuwa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati tangu Machi 2016.

Hapo awali alikuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo kuanzia Januari 2008 hadi Januari 2013. Katika uchaguzi wa rais wa Februari 2016, alichaguliwa kama Rais katika duru ya pili ya kupiga kura dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani Anicet Georges Dologuelé.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Faustin-Archange Touadéra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.