Fatuma Ibrahim Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fatuma Ibrahim Ali (kwa Kisomali: Fadumo Cibraahiim Cali) ni mwanasiasa wa Kenya.[1] Alikuwa Kamishna wa Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya.[2]Ali alikuwa Mwanachama wa Mkutano wa 11 wa Bunge la Kenya akiwakilisha Kaunti ya Wajir. Pia alichaguliwa kushika nafasi hiyo mnamo Machi 2013 kwa tiketi ya Harakati ya Kidemokrasia ya Orange.[3] Hivi sasa ni mjumbe wa Bunge la 4 (2017- 2022), la Bunge la Afrika Mashariki [4] akiwakilisha Kenya. Yeye ni wa kabila la Somalia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Fatuma Ibrahim Ali", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-02-27, iliwekwa mnamo 2021-06-29 
  2. "Fatuma Ibrahim Ali", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-02-27, iliwekwa mnamo 2021-06-29 
  3. "Fatuma Ibrahim Ali", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-02-27, iliwekwa mnamo 2021-06-29 
  4. "Fatuma Ibrahim Ali", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-02-27, iliwekwa mnamo 2021-06-29 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatuma Ibrahim Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.