Fatuma Achani
Mandhari
Fatuma Mohamed Achani ni mwanasiasa wa Kenya na Gavana wa Kaunti ya Kwale tangu mwaka 2022. Awali aliwahi kuhudumu kwa miaka kumi kama Naibu Gavana, na ndiye gavana wa kwanza mwanamke Mwislamu nchini Kenya.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "How FIDA-Kenya is championing criminal justice for women and girls". Daily Nation (kwa Kiingereza). 2024-07-17. Iliwekwa mnamo 2025-07-06.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fatuma Achani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |