Fatu Hiva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fatu Hiva ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kusini-mashariki wa visiwa vya Hiva Oa na Tahuata. Eneo la kisiwa ni 85 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Omoa. Mwaka wa 2007, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 587. Watu wakaao kisiwani kwa Fatu Hiva huongea Kimarkesa ya Kusini na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.