Nenda kwa yaliyomo

Fatoumata Tambajang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aja Fatoumata C.M. Jallow-Tambajang[1] (22 Oktoba 1949) ni mwanasiasa na mwanaharakati wa Gambia aliyehudumu kama Makamu wa Rais wa Gambia na Waziri wa Masuala ya Wanawake kuanzia Februari 2017 hadi Juni 2018, chini ya Rais Adama Barrow.

  1. "All you need to know about Fatoumata Tambajang; Gambia's new female Vice President". First Culture. 31 Januari 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Juni 2017. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2017.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatoumata Tambajang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.