Nenda kwa yaliyomo

Fatoumata Baldé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fatoumata Baldé (alizaliwa 7 Machi 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kitaalamu anayekipiga kama mshambuliaji kwa klabu ya mpira ya Première Ligue ya Strasbourg. Alizaliwa Guinea, lakini anawakilisha Senegal katika ngazi ya kimataifa.[1][2][3][4]

  1. "Fatoumata Baldé". Footofeminin.fr.
  2. "Amical Sénégal / RD Congo (Dames) : Noelie et Awa Diakhaté zappées". Dsports. 9 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Equipe Nationale Féminine : Les Lionnes s'inclinent face à l'Afrique du Sud pour leur second match amical". 4 Juni 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Préparation CAN 2025 : Les Lionnes l'emportent sur les Léopards Dames de la RDC (1-0)". 12 Julai 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatoumata Baldé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.