Nenda kwa yaliyomo

Fatou Fanny-Cissé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fanny-Cissé mwaka 2014

Fatou Fanny-Cissé (alizaliwa kama Fatoumata Touré-Cissé mwaka 1971 – alifariki Desemba 22, 2018) alikuwa mwandishi, mwandishi wa habari na mwalimu kutoka Kodivaa. Alikuwa mwalimu katika Chuo Kikuu cha Félix Houphouët-Boigny na aliandika vitabu kadhaa kama vile Une femme, deux maris, Maeva na Madame la présidente.

Fatou Fanny-Cissé alizaliwa kama Fatoumata Touré-Cissé nchini Kodivaa mnamo mwaka 1971.[1][2][3] Alisoma katika Chuo Kikuu cha Félix Houphouët-Boigny, ambapo alipata shahada ya uzamili katika masuala ya mawasiliano na kisha shahada ya udaktari (doctorate) katika masomo ya kisasa ya fasihi (modern letters).[4] kabla ya kuwa mwalimu na mtafiti katika chuo kikuu hicho hicho.[2] Pia alifanya kazi kama msaidizi wa habari na alikuwa mhariri wa makala katika jarida la Planète Jeunes.[5][6]

  1. Iloh, Ngozi Obiajulum (2021-06-01). "Une Étude critique de Madame la présidente de Fatou Fanny-Cissé". Neohelicon (kwa Kifaransa). 48 (1): 403–414. doi:10.1007/s11059-020-00573-8. ISSN 1588-2810. Iliwekwa mnamo 2024-03-24 kutoka SpringerLink.
  2. 1 2 Iloh, Ngozi Obiajulum; Benin, University of; Nigéria (2019). "Éco-féminisme dans Madame la présidente de Fatou Fanny-Cissé". AntipodeS - Études de langue française en terres non francophones (kwa Kifaransa). 2 (1). ISSN 2596-1837. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-03-24. Iliwekwa mnamo 2024-03-24.
  3. Touré-Cissé, Fatoumata (2016). "Témoigner sur le drame rwandais à l'aide de la fiction romanesque". Dalhousie French Studies (kwa Kifaransa) (109). ISSN 2562-8704. Iliwekwa mnamo 29 Septemba 2022.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Salif D. Cheickna. "Décès : L'écrivaine Fatou Fanny-Cissé a déposé la plume". www.fratmat.info. Iliwekwa mnamo 2022-03-21.
  5. "Fatou Fanny Cissé". aflit.arts.uwa.edu.au. Iliwekwa mnamo 2024-03-24.
  6. Coulibaly, Irène (26 Desemba 2018). "La littérature ivoirienne en deuil : l'écrivaine Fatou Fanny Cissé range à jamais sa plume". 100pour100culture.com. Iliwekwa mnamo 29 Septemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fatou Fanny-Cissé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.