Fatima bint al-Khattab
Mandhari
Fatima bint al-Khattab (Kiarabu: فاطمة بنت الخطاب, romanized: Fāṭima bint al-Khaṭṭāb) alikuwa mwanamke wa Kiarabu ambaye alikuwa shahaba (mfuasi) wa Nabii Muhammad. Alikuwa dada wa Umar ibn al-Khattab (mkuu wa Kiislamu 634–644) na Zayd ibn al-Khattab. Alikuwa binti mdogo wa Khattab ibn Nufayl, ambaye aluimolewa kwa mpwa wake, Sa'id ibn Zayd. Fatima pamoja na mumewe walikubali Uislamu kwa pamoja kwa wakati mmoja.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fatima bint al-Khattab kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |