Fatima Tabaamrant
Mandhari
Fatima Tabaamrant (amezaliwa 1962) ni mwigizaji na mwimbaji - mtunzi kutoka Moroko. Anaimba na kutumbuiza kwa lugha yake ya asili ya Kiberberi.
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Fatima Tabaamrant alizaliwa mwaka 1962 huko Boughafar, katika kabila la Idaw Nacer, ambalo ni sehemu ya muungano wa makabila ya katika eneo la Sous, Morocco. Alitumia sehemu ya utoto wake katika miji ya Ifrane na Lakhass, Mkoa wa Tiznit, katika maeneo ya pembezoni na milimani (pamoja na sehemu za Anti-Atlas) ambazo zote ni sehemu za Milima ya Juu ya Atlas na eneo la Sous, Morocco.
Kazi yake
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 1994, Tabaamrant aliigiza kama mwimbaji katika filamu ya wasifu wake binafsi iitwayo Tihya.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Festival Timitar 2007, Agadir Morocco" (PDF) (kwa French). Timitar Festival. 27 Novemba – 5 Desemba 2009. Iliwekwa mnamo 2011-03-18.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Azawan.com Fatima Tabaamrant, biography and more (English, French, and Amazigh (tashlhit)).
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fatima Tabaamrant kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |