Farid El Atrache

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Farid El Atrache

Farid El Atrache (Kiarabu:فريد الأطرش,Oktoba 19, 1910 - 26 Desemba 1974) alikuwa ni mtunzi, mwimbaji wa nchini Syria na huko Misri.[1][2] Baada ya kuhamia Misri akiwa na umri wa miaka tisa tu na mama yake pamoja na ndugu zake. Al-Atrash alipata mafanikio ya juu kwa zaidi ya miongo minne na kurekodi nyimbo 500 na akiwa mhusika mkuu katika filamu 31.[3] Wakati mwingine hujulikana kama "Mfalme wa Oud". Al-Atrash ni mmoja wa watu muhimu sana katika muziki wa Kiarabu wa karne ya 20.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Prominent Egyptians – Egyptian Government State Information Service". Sis.gov.eg. Desemba 26, 1974. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 11, 2012. Iliwekwa mnamo 2012-02-04. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Newspaper Article by Abdel-Fadil Taha, 2008-05-23, Al-Quds Al-Arabi, "وحصلت الأسرة علي الجنسية المصرية وظلت تنعم بها ومنهم اسمهان بالطبع"]
  3. "Farid El Atrash - Music Composer Filmography، photos، Video". 2020-10-19. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 19, 2020. Iliwekwa mnamo Oktoba 19, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Farid El Atrache kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.