Fangak (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Fangak State
Mahali pa Fangak katika Sudan Kusini
Mahali pa Fangak katika Sudan Kusini
Bendera ya South Sudan South Sudan Sudan Kusini
Makao makuu Ayod
Idadi ya kaunti 3
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana James Kok Ruea

Fangak State (jina la awali: Western Bieh State) ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Imegawanyika katika kaunti 3: Fangak County, Canal County na Ayod County.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fangak (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.