Nenda kwa yaliyomo

Falaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Falaba ni mji wa Sierra Leone ulio makao makuu ya wilaya ya Falaba, mkoa wa Kaskazini.

Shughuli kuu za wakazi ni kilimo, hasa uzalishaji wa mazao ya chakula.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Falaba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.