Faith Nketsi
Mandhari
Mapholoso Faith Nketsi (alizaliwa 30 Desemba 1994) ni mhamasishaji wa kwenye mitandao ya kijamii, mwanamitindo, na mhusika wa vyombo vya habari kutoka Afrika Kusini.
Anajulikana zaidi kwa kuwa mwanachama wa kikundi cha ngoma alipokuwa mdogo. Baada ya kujiondoa kwenye kikundi hicho, alijipatia umaarufu zaidi kama nyota wa runinga za uhalisia na akaanzisha kipindi chake cha reality TV kinachoitwa Have Faith, ambacho huonyeshwa kupitia MTV na Netflix. Aidha, ameshirikiana na chapa mbalimbali za kibiashara na amejenga idadi kubwa ya wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ q"Faith Nketsi Age, Husband, Family & Biography" https://hamariweb.com/profiles/faith-nketsi_13279 Archived 21 Februari 2025 at the Wayback Machine
- ↑ "Faith Nketsi Has A New Ride And We Are Jealous". Cosmopolitan SA (kwa American English). 2019-03-11. Iliwekwa mnamo 2019-12-29.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Faith Nketsi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |