Faith Michael

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faith Michael

Amezaliwa 28 Februari 1987
port Harcourt Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Maandishi ya koozeMaandishi ya italiki Faith Michael (alizaliwa 28 Februari 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Nigeria ambae anacheza kama mshambuliaji kwenye ligi ya Damallsvenskan katika klabu ya Pitea IF na timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria.[1] [2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Breaking new barriers. BBC (29 March 2006).
  2. Faith Ikidi förlänger med Piteå IF. Dam Football (18 December 2015). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-06-05. Iliwekwa mnamo 2022-05-14.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Faith Michael kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.