Commons ni mahali mtandaoni pa kuhifadhia jalada na hati za picha na sauti zenye leseni huria. Unaweza kuisadia.
Muhtasari
MaelezoTanbihi footnote.png
English: screenshot of footnotes / endnotes at the end of enwiki article on Tippi Tipp, showing different ways of having such a note
Kiswahili: picha ya tanbihi chini ya makala ya enwiki "Tippu Tipp" zonazoonyesha maelezo kuhusu matamko katika matini mfululizo wa makala. Tanbihi ziko za aina mbalimbali, ama kama kiunganishi (link) kwa tovuti nyingine nje ya wikipedia au kwa kutaja makala au kitabu pamoja na habari zake (mwandishi, tarehe, makala katika jarida gani, na kadhalika)
sifa – Ni lazima utoe mkopo unaofaa, utoe kiungo cha leseni, na uonyeshe ikiwa mabadiliko yalifanywa. Unaweza kufanya hivyo kwa njia yoyote inayofaa, lakini si kwa njia yoyote inayopendekeza mtoa leseni akuidhinishe wewe au matumizi yako.
shiriki sawa – Ukichanganya, kubadilisha, au kujenga juu ya nyenzo, lazima usambaze michango yako chini ya same or compatible license kama ya awali.