Faili:Rupie robo DOA 1913.JPG
Ukubwa wa hakikisho: piseli 589 × 599. Ukubwa zingine: piseli 236 × 240 | piseli 472 × 480 | piseli 755 × 768 | piseli 1,059 × 1,077.
Faili halisi (piseli 1,059 × 1,077, saizi ya faili: 297 KB, aina ya MIME: image/jpeg)
Muhtasari[hariri | hariri chanzo]
Upande wa mbele wa sarafu za Rupie robo katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Picha ya kando ni majani ya mitende. Maandishi ni jina la koloni "Deutsch Ostafrika" na thamani ya sarufi "1/4 Rupie" (robo rupia) iliyokuwa sawa na Heller 25. "1913" ni mwaka wa kutolewa na herifi "J" inaonyesha ya kwamba imechongwa mjini Hamburg kwenye karahana ya serikali.
Nyuma yake inaonyesha picha ya Kaisari Wilhelm II sawa na sarufi za rupie 1.
Hatimiliki:[hariri | hariri chanzo]
Mimi, nikiwa muumbaji au mtengenezaji wa kazi hii, naikabidhi kwa uwanja wa umma. Hii inakubalika dunia nzima. Kwa ajili ya matumizi huria ya mtu yeyote mahali popote, |
Historia ya faili
Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.
Tarehe/Saa | Picha ndogo | Vipimo | Mtumiaji | Maelezo | |
---|---|---|---|---|---|
sasa hivi | 15:45, 24 Januari 2009 | 1,059 × 1,077 (297 KB) | Kipala (majadiliano | michango) | Upande wa mbele wa sarafu za Rupie robo katika Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Picha ya kando ni majani ya mitende. Maandishi ni jina la koloni "Deutsch Ostafrika" na thamani ya sarufi "1/4 Rupie" (robo rupia) iliyokuwa sawa na Heller 25. "1913" ni mwa |
Unaweza kuandika juu ya faili hii.
Matumizi ya faili
Ukurasa huu umeunganishwa na faili hili: