Faili:Michael na Mwinyi.jpg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michael_na_Mwinyi.jpg(piseli 395 × 287, saizi ya faili: 28 KB, aina ya MIME: image/jpeg)

Muhtasari[hariri | hariri chanzo]

Kwa Tanzania, picha hii imechukuliwa na wanablogu wengi sana - kiasi kwamba hata haijulikani nani mmiliki kamili wa picha hii. Kiukweli, picha ilipigwa toka mwaka 1992 hadi leo. Kiasi hata isijulikane nani mmiliki halisi wa picha hii. Wengi wanaamini ilitoka maktaba kwa ajili ya kumwelezea Rais Mstaafu wa Tanzania Nd. Ali Hassan Mwinyi jinsi alivyozungumza na Michael Jackson wakati wa ziara yake ya kutembelea kituo cha watoto yatima cha Sinza. Zifuatazo ni orodha ya blogu zilizowahi kutumia picha hizi:

Kwa mantiki hii, kila mtu ana haki ya kutumia picha hii.

Hatimiliki:[hariri | hariri chanzo]

Historia ya faili

Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.

Tarehe/SaaPicha ndogoVipimoMtumiajiMaelezo
sasa hivi11:20, 21 Julai 2009Picha ndogo ya toleo la 11:20, 21 Julai 2009395 × 287 (28 KB)Muddyb (majadiliano | michango)Kwa Tanzania, picha hii imechukuliwa na wanablogu wengi sana - kiasi kwamba hata haijulikani nani mmiliki kamili wa picha hii. Kiukweli, picha ilipigwa toka mwaka 1992 hadi leo. Kiasi hata isijulikane nani mmiliki halisi wa picha hii. Wengi wanaamini ilit

Hakuna kurasa zozote zinazotumia faili hii.