Fabrice Ondoa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Fabrice Ondoa (alizaliwa 24 Desemba 1994) ni mchezaji wa soka wa Kamerun ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya KV Oostende iliyopo nchini Ubelgiji na timu ya taifa ya Kamerun.

Ondoa alicheza vizuri tangu mwaka 2014 akiwa na umri wa miaka 14 aliwakilisha Cameroon katika makombe mawili ya Afrika na kushinda mwaka 2017.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fabrice Ondoa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.