Nenda kwa yaliyomo

Fabio de Jesús Morales Grisales

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fabio de Jesús Morales Grisales, C.Ss.R. (27 Julai 193410 Februari 2025) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Kolombia.

Alihudumu kama askofu wa Mocoa–Sibundoy kuanzia 1991 hadi 2003. Alifariki dunia tarehe 10 Februari 2025 akiwa na umri wa miaka 90.[1]

  1. "Bishop Fabio de Jesús Morales Grisales, C.Ss.R. †". Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.