Fabio Capello
Mandhari
Fabio Capello (alizaliwa 18 Juni 1946) ni kocha wa zamani wa soka wa kulipwa na mchezaji wa zamani wa soka kutoka Italia.
Akiwa mchezaji, Capello aliichezea klabu za SPAL, Roma, AC Milan na Juventus. Alicheza katika nafasi ya kiungo na alishinda mataji kadhaa katika kipindi cha maisha yake ya soka yaliyodumu kwa zaidi ya miaka 15. Alishinda Coppa Italia akiwa na Roma mwaka 1969, lakini mafanikio yake makubwa zaidi aliyapata akiwa na Juventus, ambapo alishinda mataji matatu ya Serie A katika miaka ya 1972, 1973 na 1975.
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Kama mchezaji
[hariri | hariri chanzo]SPAL
- Serie B: Kupanda daraja msimu wa 1964–65
Roma
- Coppa Italia: 1968–69
Juventus
- Serie A: 1971–72, 1972–73, 1974–75
Milan
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://web.archive.org/web/20151004065920/http://www.fifa.com/fifa-tournaments/players-coaches/people=174455/index.html
- ↑ https://web.archive.org/web/20160309200910/http://www.figc.it/nazionali/DettaglioConvocato?codiceConvocato=258&squadra=1
- ↑ https://www.myjuve.it/giocatori-juventus/fabio-capello-46.aspx
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fabio Capello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |