Nenda kwa yaliyomo

Ewen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ewen (kwa Kiwelisi Hywyn; karne ya 5 - baada ya 516) alikuwa mmonaki wa Welisi mwenye asili ya Bretagne (rasi katika Ufaransa wa leo) aliyefanya kazi kubwa kama mmisionari akaanzisha kanisa, monasteri na shule huko Aberdaron [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Januari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.