Evgeniy Sapiro
Mandhari
Evgeniy Saulovich Sapiro (29 Januari 1934 – 21 Septemba 2024) alikuwa mwanasiasa na mwanauchumi wa Umoja wa Kisovieti na Urusi. Alihudumu kama Wizara ya Maendeleo ya Kikanda (Urusi)|Waziri wa Sera ya Kikanda na Kitaifa wa Urusi mnamo mwaka 1998.
Sapiro alifariki dunia mjini Perm, Urusi mnamo tarehe 21 Septemba 2024, akiwa na umri wa miaka 90.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ушёл из жизни первый председатель ЗакСобрания Пермской области и бывший федеральный министр Сапиро Евгений". V-Kurse.ru (kwa Russian). 21 Septemba 2024. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Скончался пермский политик, экономист и преподаватель Евгений Сапиро". 59.ru (kwa Russian). 21 Septemba 2024. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Evgeniy Sapiro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |