Event talk:WikiForHumanRights Campaign 2025 in Tanzania
Weka madaMandhari
Latest comment: miezi 11 iliyopita by Czeus25 Masele in topic Ubora wa Makala zinazochapishwa
Ubora wa Makala zinazochapishwa
[hariri chanzo]Ndugu waandaaji wa warsha @Pellagia Njau @Husseyn Issa, naomba mfuatilie kwa ukaribu ubora wa makala zinazochapishwa, nyingi ni tafsiri ya kompyuta, nina shauri muwasisitize washiriki kuchapisha makala kwenye ukurasa wa majaribio na kisha mzipitie kuhakikisha zinafaa kisha muwaruhusu ziende kwenye ukurasa mkuu wa makala. Sioni kama ni sawa hawa waandishi wapya kuishia kufungiwa au makala zao kufutwa na ninyi waalimu mko hapa, tuwafundishe wasije kukata tamaa kutokana na wakabidhi kuwa wakali kwa kuchoshwa na tabia ya kuchapisha tu makala bila kujali. Czeus25 Masele (majadiliano) 08:43, 8 Oktoba 2025 (UTC)
- Hello Clement
- Asante kwa taarifa na tutalifuatilia hili kwa ukaribu na kuwaelekeza kitu sahihi cha kufanya hasa kwa wale washiriki wapya.
- Asante Pellagia Njau (majadiliano) 10:06, 8 Oktoba 2025 (UTC)
- Ahsante. Czeus25 Masele (majadiliano) 13:00, 9 Oktoba 2025 (UTC)