Event:Wikipedia 25 - Tabora


Wikipedia 25th Anniversary ni maadhimisho ya kihistoria ya miaka 25 ya Wikipedia, hazina kubwa zaidi ya maarifa huru duniani. Nchini Tanzania, hasa katika mkoa wa Tabora, tunaungana na jumuiya ya kimataifa ya Wikimedia kusherehekea mafanikio haya kwa kuimarisha maudhui yetu ya ndani na kuongeza ushiriki wa jamii katika maarifa huru.
Kupitia kampeni hii, washiriki watapata nafasi ya kuchangia kwa kuandika na kuboresha makala mbalimbali zinazoakisi historia ya jamii yetu, maendeleo ya ndani, na utamaduni wetu, huku tukikumbuka mchango wa Wikipedia katika elimu na upatikanaji wa taarifa huru kwa miaka 25 iliyopita.
English
[hariri | hariri chanzo]Wikipedia 25th Anniversary is a historic celebration of 25 years of Wikipedia, the world's largest repository of free knowledge. In Tanzania, particularly in the Tabora region, we are joining the global Wikimedia community to celebrate this milestone by strengthening our local content and increasing community participation in free knowledge.
Through this campaign, participants will have the opportunity to contribute by writing and improving articles that reflect our local history, community development, and culture, while reflecting on Wikipedia's contribution to education and free access to information over the past 25 years.
Dhamira / Theme
[hariri | hariri chanzo]Celebrating 25 Years of Free Knowledge (Sw: Kusherehekea Miaka 25 ya Maarifa Huru)
Lini? / When?
[hariri | hariri chanzo]- Date: Saturday, 27 June 2026
- Venue: Grand Pental Hotel
Malengo / Goals
[hariri | hariri chanzo]- Kuadhimisha miaka 25 ya Wikipedia kwa kuandika na kuboresha angalau makala 50 zinazohusu historia ya jamii yetu na maendeleo ya ndani.
- Kutambua na kuwapongeza wachangiaji wa muda mrefu wa Wikipedia ya Kiswahili kutoka Tabora na Tanzania kwa ujumla.
- Kuvutia na kutoa mafunzo kwa wahariri wapya ili kuhakikisha maarifa huru yanaendelea kukua kwa vizazi vijavyo.
English
[hariri | hariri chanzo]- To celebrate 25 years of Wikipedia by creating and improving atleast 50 articles related to our local history and community development.
- To recognize and honor long-term contributors to the Swahili Wikipedia from the Tabora and Tanzania community as whole.
- To attract and train new editors to ensure that free knowledge continues to grow for future generations.
