Event:Wikidata 14th Birthday Celebration 2026 in Zanzibar
Mukhtasari
[hariri | hariri chanzo]
Wikidata inatimiza miaka 14 mnamo tarehe 29 Oktoba 2026! ๐ฅณ
Tangu mwaka 2012, jumuiya ya Wikidata imekua na kujumuisha makumi ya maelfu ya wahariri, mabilioni ya marekebisho, na mamilioni ya Vipengee (Items). Tujumuike pamoja kusherehekea hatua hii muhimu na ya kuvutia huko Zanzibar.
Malengo ya sherehe zetu ni:
๐ Kusherehekea mafanikio ya harakati za Wikidata nchini Tanzania
๐ค Kuwakutanisha watu kutoka maeneo mbalimbali (Zanzibar)
๐ Kuongeza uelewa kuhusu Wikidata na kualika watu wapya kujiunga
Kote duniani, jumuiya mbalimbali zitaandaa mikusanyiko ya kusherehekea siku hii, warsha, hafla za uhariri wa pamoja (edit-a-thons), matangazo ya moja kwa moja, mashindano (hackathons), na mengine mengi.
๐ Taarifa Muhimu
[hariri | hariri chanzo]- Warsha: Ijumaa, 16 Octoba 2026
- Physical event: Saturday, 17th October 2026
- Venue:
- ๐ Zanzibar: TBD
- Muda: 11:00 AM EAT
- Lugha: Kiswahili
- Waandaaji: Wikimedia Community Zanzibar
๐ Ratiba
[hariri | hariri chanzo]| Time (EAT) | Tukio | Wahusika |
|---|---|---|
| 11:00 โ 11:30 | Washiriki kuwasili eneo la tukio | Wote |
| 11:30 โ 11:00 | Utambulisho | Wote |
| 11:00 โ 1:30 | Sherehe, mashindano na michezo, Kukata keki ๐ | Wote |
| 1:30 โ 2:00 | Kufunga na picha ya pamoja | Wote |
Marejeleo
[hariri | hariri chanzo]- Picha na Video za tukio
- Diff blogpost (TBA)
๐ Birthday Wishes
[hariri | hariri chanzo]TBA
Ili kuendelea kuwasiliana na jumuiya, tufuate kwenye ukurasa wetu wa Instagram na Meta.
Karibu Zanzibar tushereheke kwa pamoja! ๐โจ