Event:WikiForHumanRights Campaign 2025 in Tanzania
WikiForHumanRights Campaign 2025 in Tanzania
Muda wa kuanza na kumaliza
Participation options
Tukio la ana kwa ana
Tanzania Anwani ya mahali itatolewa na waandaaji.
Tukio la mtandaoni
Kiungo kitatolewa na waandaaji.
Event types
Jiunge na kikundi cha gumzo la tukio

Karibu katika warsha ya WFHR 2025
Madhumuni ya kampeni ya #WikiForHumanRight ni kuhakikisha kwamba kila mtu anapata taarifa zisizoegemea upande wowote, zenye msingi wa ukweli na za sasa kwa mustakabali endelevu unaozingatia haki za kibinadamu, zikiwemo na mada kama vile haki za mazingira yenye Afya na haki nyingine za binadamu.
Orodha ya makala
[hariri | hariri chanzo]Zawadi za washindi wa kampeni ya WikiForHumanRights Campaign 2025 in Tanzania
[hariri | hariri chanzo]
Washiriki wa WikiForHumanRights Campaign 2025 nchini Tanzania wanayo nafasi ya kushinda zawadi za fedha taslimu kama utambuzi wa michango yao bora.
Zawadi hizi zinalenga kusherehekea ubora na kuhamasisha uundaji wa maudhui yenye ubora wa juu na marejeo sahihi kuhusu haki za binadamu na mada za tabianchi.
Hapa chini ni orodha ya zawadi zitakazotolewa:
- 🏆 Mshindi wa Kwanza: TSH 100,000
- 🥈 Mshindi wa Pili: TSH 80,000
- 🥉 Mshindi wa Tatu: TSH 60,000
- 🎖️ Mshindi wa Nne: TSH 50,000
- 🏅 Mshindi wa Tano: TSH 30,000