Nenda kwa yaliyomo

Event:October 2025 Edit-a-thon: African Athletes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Participation options
Tanzania
Tukio la mtandaoni na la ana kwa ana
Muda wa kuanza na kumaliza06:44, 2 Oktoba 2025 – 21:00, 30 Oktoba 2025
Saa za eneo: +00:00
Idadi ya washirikiwashiriki 16
Wikimedia Community Kilimanjaro Monthly Edit-a-thon

English Translation

[hariri | hariri chanzo]

Across stadiums, tracks, and fields, African athletes have inspired the world. Yet, many of their stories remain unwritten. This October, Wikimedia Community Kilimanjaro invites you to help change that.

Join us for a Swahili Wikipedia Edit-a-thon dedicated to honoring African athletes – the champions who uplift nations and inspire generations. Here is how you can contribute to make a difference:

✅ Create and expand the profiles of remarkable African athletes

✅ Add verified sources, reliable references, and upload photos

✅ Celebrate the achievements and contributions of athletes in Africa

Join us, make your impact, and help shape Swahili Wikipedia!

Tafrisi ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]

Katika viwanja vya michezo, njia za riadha, na viwanja mbalimbali, wanamichezo wa Afrika wamehamasisha ulimwengu. Hata hivyo, hadithi nyingi za mafanikio yao bado hazijaandikwa. Mwezi huu wa Oktoba, Wikimedia Community Kilimanjaro inakualika ushiriki katika kuleta mabadiliko hayo.

Jiunge nasi kwenye Edit-a-thon ya Wikipedia ya Kiswahili inayolenga kuwaenzi wanamichezo wa Afrika, mabingwa wanaoinua mataifa na kuhamasisha vizazi. Hivi ndivyo unavyoweza kuchangia na kuleta tofauti:

✅ Unda na ongeza wasifu wa wanamichezo mashuhuri wa Afrika

✅ Ongeza vyanzo vilivyothibitishwa, marejeo ya kuaminika, na pakia picha

✅ Sherehekea mafanikio na michango ya wanamichezo barani Afrika

Jiunge nasi, leta mchango wako, na usaidie kuijenga Wikipedia ya Kiswahili!

Timeline

[hariri | hariri chanzo]
  • 1 - 31 October 2025

Location

[hariri | hariri chanzo]
  • Online and in-person.
  • Tukio la mtandao na ana kwa ana