Event:Error, Fix, and Contribute Campaign 2025-26 in Tanzania/November 2025 Workshop
English Translation
[hariri | hariri chanzo]We’re starting the Error, Fix, and Contribute Campaign 2025–26 with a special workshop this November 2025! In this session, both new and experienced editors will learn how to:
- Find and correct mistakes on Swahili Wikipedia
- Improve the quality of articles
- Add correct and reliable information
You’ll get practical help from experienced editors on how to edit, check facts, and make articles more accurate and useful for readers. It doesn’t matter if you’re a beginner or already know how to edit. This workshop is a great opportunity to learn new skills, meet others, and help make Swahili Wikipedia better.
Join us to learn, collaborate, and make Swahili Wikipedia better one fix at a time!
Tafsiri ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]Tunaanza Kampeni ya Error, Fix, and Contribute 2025–26 kwa warsha maalum ya mwezi Novemba 2025! Katika kikao hiki, wahariri wapya na wenye uzoefu watajifunza jinsi ya:
- Kutafuta na kurekebisha makosa kwenye Wikipedia ya Kiswahili
- Kuboresha ubora wa makala
- Kuongeza taarifa sahihi na za kuaminika
Utapata msaada wa vitendo kutoka kwa wahariri wenye uzoefu kuhusu jinsi ya kuhariri, kuhakiki ukweli, na kufanya makala ziwe sahihi zaidi na zenye manufaa kwa wasomaji. Haijalishi kama wewe ndio unaanza au tayari una uzoefu wa kuhariri. Warsha hii ni fursa nzuri ya kujifunza ujuzi mpya, kukutana na wengine, na kusaidia kuboresha Wikipedia ya Kiswahili.
Jiunge nasi kujifunza, kushirikiana, na kuifanya Wikipedia ya Kiswahili iwe bora zaidi kwa rekebisho moja baada ya jingine!
Timeline
[hariri | hariri chanzo]- 1 - 30 Novemba 2025
Location
[hariri | hariri chanzo]- Online and In-person
- Tukio la mtandao na Ana kwa Ana.