Nenda kwa yaliyomo

Event:Error, Fix, and Contribute Campaign 2025-26 in Tanzania/January 2026 Training

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Participation options
Ndoto Hub, Kilimanjaro
Tanzania
Tukio la mtandaoni na la ana kwa ana
Muda wa kuanza na kumaliza21:00, 25 Januari 2026 – 20:59, 5 Februari 2026
Saa za eneo: +00:00
Idadi ya washirikiwashiriki 17
Error, Fix, and Contribute Campaign 2025-26 in Tanzania

English Translation

[hariri | hariri chanzo]

One fix at a time, this session is another exciting event conducted by the Wikimedia Community Kilimanjaro as part of the Error, Fix, and Contribute Campaign 2025–26. The January 2026 Training builds on the campaign’s momentum by helping editors, especially newcomers, gain practical skills to contribute to Wikimedia Commons and increasing readability of the articles. Participants will learn how to add pictures, info-box and contribute constructively to Swahili Wikipedia.

This is also a great opportunity to connect with fellow editors, ask questions, and share experiences while contributing to the growth of reliable knowledge in Swahili. Whether you are new or have some experience, everyone is welcome!

Whether you’re new or have edited both Wikipedia and Wikimedia Commons before, everyone is welcome to join and help make Swahili Wikipedia better!

Tafsiri ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]

Hatua moja ya kurekebisha kwa wakati mmoja, kikao hiki ni warsha nyingine ya kusisimua lililoandaliwa na Wikimedia Community Kilimanjaro kama sehemu ya Kampeni ya Error, Fix, and Contribute 2025–26 . Mafunzo ya mwezi Januari 2026, yanaendeleza kasi ya kampeni kwa kuwasaidia wahariri, hasa wanaoanza, kupata ujuzi wa vitendo wa kuchangia mradi wa Wikimedia Commons na kuongeza usomekaji wa makala. Washiriki watajifunza jinsi ya kuongeza picha, Infobox (jedwali la taarifa), na kuchangia kwa njia chanya katika Wikipedia ya Kiswahili.

Pia, hii ni fursa nzuri ya kuungana na wahariri wenzako, kuuliza maswali, na kushirikishana uzoefu huku ukichangia katika kukuza maarifa ya kuaminika kwa Kiswahili. Iwe wewe ni mgeni au una uzoefu fulani, kila mtu anakaribishwa!

Iwe unaanza au tayari umeshahariri Wikipedia na Wikimedia Commons hapo awali, wote mnakaribishwa kujiunga na kusaidia kuifanya Wikipedia ya Kiswahili kuwa bora zaidi!

Timeline

[hariri | hariri chanzo]
  • 26 January - 5 February 2026

Location

[hariri | hariri chanzo]
  • Online and In-person (Venue details to be announced soon)
  • Tukio la mtandao na ana kwa ana (Maelezo ya ukumbi yatatangazwa hivi karibuni)
  1. Justine Msechu
  2. Ester Gasper Kimario
  3. Abubakari Sixbert